BALOZI STITH ATOA NENO ZITO NA SHUKRANI KWA MARAIS WASTAAFU TANZANIA - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

BALOZI STITH ATOA NENO ZITO NA SHUKRANI KWA MARAIS WASTAAFU TANZANIA

 Maraisi wastaafu Mzee Ali Hassan Mwinyi (katikati) Benjamini Mkapa (kulia) na Jakaya Kikwete (kushoto) kwa pamoja wakishiriki kukata keki na Balozi Mstaafu wa Marekani nchini Tanzania, kuanzia mwaka 1998 - 2001, Charles Stith (wa pili kulia) na mkewe, Debora Prothrow-Stith (wa pili kushoto) kukata Keki wakati wa hafla ya Balozi huyo kusherehekea kutimiza miaka 20 ya ubalozi iliyofanyika kwenye Hoteli ya Hyatt Kempisk jijini Dar es Salaam jana. (Picha na Muhidin Sufiani).Maraisi wastaafu Mzee Ali Hassan Mwinyi (katikati) Benjamini Mkapa (wapili kulia) na Jakaya Kikwete (wa pili kushoto) kwa pamoja wakifurahia baada ya kukata keki na Balozi Mstaafu wa Marekani nchini Tanzania, kuanzia mwaka 1998 - 2001, Charles Stith (wa tatu kulia) na mkewe, Debora Prothrow-Stith (wa tatu kushoto) wakati wa hafla ya Balozi huyo kusherehekea kutimiza miaka 20 ya ubalozi iliyofanyika kwenye Hoteli ya Hyatt Kempisk jijini Dar es Salaam jana. Kulia ni mtoto wa balozi huyo,Mimi na (kushoto) ni mratibu wa h... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More