BALOZI WA INDIA ATEMBELEA BUNGE NA KUZUNGUMZA NA SPIKA NDUGAI - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

BALOZI WA INDIA ATEMBELEA BUNGE NA KUZUNGUMZA NA SPIKA NDUGAI

Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai akizungumza na na Balozi wa India nchini Mhe. Sandeep Arya Ofisini kwake Jijini Dodoma. Balozi wa India nchini Mhe. Sandeep Arya akimueleza jambo Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai alipomtembelea Ofisini kwake Jijini Dodoma. Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai akiagana na na Balozi wa India nchini Mhe. Sandeep Arya mara baada ya kuzungumza naye Ofisini kwake Jijini Dodoma. PICHA NA BUNGE ... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More