BancABC TANZANIA YAJA NA KADI YA MALIPO KABLA YA YUAN - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

BancABC TANZANIA YAJA NA KADI YA MALIPO KABLA YA YUAN

  Mkuu wa Huduma za Kidigitali wa Benki ya BanABC, Silas Matoi (kulia), na Mkuu wa Wateja Binafsi na wateja wafanyabiashara wa kati na wadogo, Bi. Joyce Malai, wakionyesha mfano wa kadi ya ATM ya fedha za kichina wakati wa hafla ya uzinduzi rasmi wa kadi hiyo jijini Dar es Salaam jana.Mkuu wa Huduma za Kidigitali wa Benki ya BanABC, Silas Matoi (kulia), akizungumza katika hafla ya ya uzinduzi rasmi wa kadi ya ATM ya fedha za kichina ya Visa jijini Dar es Salaam jana. Kushoto ni Mkuu wa Wateja Binafsi na wateja wafanyabiashara wa kati na wadogo, Bi. Joyce Malai.---BancABC Tanzania ambayo ni kampuni tanzu ya Atlas Mara na ambao imeorodhesha kwenye soko la hisa la London, imepiga hatua nyingine kwenye soko kwa upande wa ubunifu kwa kuja na kadi ya malipo ya kabla – YUAN pre-paid Visa card, ambayo itawawezesha kufanya malipo kwa kwa fedha za China. Kwa sasa BancABC Tanzania inazo kadi 5 za malipo ya kabla ambazo zinapatikana kwa fedha ya USD, Tanzania, Uingereza, Ulaya na Afrika Kusini.... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More