BancABC YAJA NA OFA KWA WATEJA WA AKAUNTI ZA AMANA - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

BancABC YAJA NA OFA KWA WATEJA WA AKAUNTI ZA AMANA

Mkuu wa Kitengo cha Wateja binafsi BancABC Joyce Malai (kushoto) na Mkuu wa Kitengo cha Hazina wa benki hiyo Barton Mwasamengo wakionyesha bango baada ya benki hiyo kutangaza kutoa ofa maalum kwa wateja wote wanaofungua akaunti za amana ambapo Watapata riba ya asilimia 14 papo na inaanza leo Novemba mosi mpaka Disemba 31 mwaka huu.Mkuu wa Kitengo cha Wateja binafsi BancABC Joyce Malai (kushoto) kutangaza hatua ya benki hiyo kutoa ofa maalum kwa wateja wote wanaofungua akaunti za amana ambapo Watapata riba ya asilimia 14 papo na inaanza leo Novemba mosi mpaka Disemba 31 mwaka huu. Kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Hazina wa benki hiyo Barton Mwasamengo.
*Wateja wanaoufungua akaunti za amana kupata riba hadi asilimia 14 papo hapo. 
BancABC Tanzania ambayo ni kampuni tanzu ya Atlas Mara na ambao imeorodhesha kwenye soko la hisa la London, imepiga hatua nyingine kwenye soko baada ya kutangaza ofa kabambe kwa wateja wakati huu wa kuelekea msimu wa Krismasi na sikukuu za mwisho wa mwaka. 
Ofa hiyo... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More