Banda kiroho safi kutemwa stars - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Banda kiroho safi kutemwa stars

WALA hana nongwa buana! Ndio, beki Abdi Banda anayekipiga Baroka FC ya Afrika Kusini amesema hana kinyongo licha ya kutemwa katika kikosi cha mwisho cha Taifa Stars kitakachoshiriki Fainali za Afcon 2019 zitakazofanyika nchini Misri kuanzia wiki ijayo.


Source: MwanaspotiRead More