Banda: Sina wa kumlaumu kuachwa Taifa Stars -VIDEO - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Banda: Sina wa kumlaumu kuachwa Taifa Stars -VIDEO

Baada ya kuachwa katika kikosi cha Taifa Stars, beki Abdi Banda amesema hana wa kumlaumu kwa sababu timu hiyo ni ya watu wote sasa anakwenda kujipanga ili atakapoitwa kwa mara nyingine awe chaguo namba moja la timu hiyo.


Source: MwanaspotiRead More