Bao la Kideo la Straika wa Mbao, Ajibu akasome - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Bao la Kideo la Straika wa Mbao, Ajibu akasome

Mshambuliaji huyo kati ya mechi 10 walizocheza amefunga mabao manne sawa na nyota wa Simba, Meddie Kagere na kuingia katika orodha ya wafungaji bora hadi sasa akitanguliwa na Eliud Ambokile wa Mbeya City mwenye mabao sita.


Source: MwanaspotiRead More