Bao la kideoni lamvuruga Jaap Stam - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Bao la kideoni lamvuruga Jaap Stam

KOCHA wa Mbao, Amri Said ‘Jaap Stam’ ameangalia kwa makini bao lililofungwa na nyota wake, Said Khamis juzi wakati wakiichapa Mtibwa Sugar bao 1-0 katika Uwanja wa CCM Kirumba na kusema ni la kiufundi na kwa upande wake anaona ni bora hadi sasa.


Source: MwanaspotiRead More