Bao la utata Simba lamng’oa mwamuzi - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Bao la utata Simba lamng’oa mwamuzi

Bao lililokataliwa la kiungo mshambuliaji wa Simba, Mohammed Ibrahim dhidi ya Stand United juzi, limemponza mwamuzi msaidizi, Haji Mwarukuta kutoka Tanga ambaye ameondolewa kwenye orodha ya waamuzi.


Source: MwanaspotiRead More