Barakah The Prince Ajibu Tuhuma Za Kuwa na Kiburi - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Barakah The Prince Ajibu Tuhuma Za Kuwa na Kiburi

Msanii wa muziki wa Bongo fleva Barakah The Prince amefungukia tuhuma ambazo amekua akirushiw ili nyingi kuwa ana kiburi.


Mashabiki wengi wa muziki wa Bongo fleva wamekuwa wakimtuhumu Barakah The Prince kwa kudai kuwa ni mtu ambaye ana kiburi hasa kwa mashabiki wake.


Kwenye mahojiano na Bongo 5, Barakah amefunguka kuwa yeye sio mfuatiliaji mzuri wa comments za mashabiki wake kwenye mitandao ya kijamii na kuhusu madai ya kuwa ana kiburi ameeleza kuwa wanamkosea sana Mwenyezi Mungu kwani wanaamini vitu ambavyo hawaambiwa bila kuthibitisha.Mimi sio msamaha sana wa comments za mashabiki maana naamini ukisikiliza maoni ya watu unaweza ukachanganyikiwa mwisho wa siku unatakiwa ufabye kitu ambacho unajua kitakuwa Kiba faida kwako kuliko kufuata matakwa ya watu.


Unajua watu wanaamini wanachokisikia kuna kundi Dogo la watu linalowaaminisha watu wengi kuwa mimi mjeuri jambo ambalo sio la kweli kwani mashabiki wangu wa kweli wanajua mimi siko hivyo kabisa”.


 


The post Barakah The Prince Aji... Continue reading ->


Source: Ghafla TZRead More