Baraza la Habari na Chama cha Waandishi wa Michezo watoa tamko kupigwa kwa Mbise - Kwanza TV | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Baraza la Habari na Chama cha Waandishi wa Michezo watoa tamko kupigwa kwa Mbise

Baraza la Habari Tanzania (MCT), na Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo nchini (TASWA), vimesikitishwa kufedheheshwa na kukasirishwa na tukio la ukatili lililofanywa na Polisi, dhidi ya mwandishi wa habari wa kituo cha Wapo Radio cha Dar es Salaam, Silas Mbise Jumatano Agosti 8, 2018 katika Uwanja wa Taifa Dar es Salaam. Kwa mujibu


Source: Kwanza TVRead More