BARCELONA YAICHAPA MAN UNITED 3-0 NA KUTINGA NUSU FAINALI - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

BARCELONA YAICHAPA MAN UNITED 3-0 NA KUTINGA NUSU FAINALI

Lionel Messi akishangilia kishujaa baada ya kuifungia mabao mawili Barcelona dakika za 16 na 20 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Manchester United kwenye mchezo wa marudiano wa Robo Fainali Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Nou Camp. Bao lingine lilifungwa na Philippe Coutinho dakika ya 61 na Barcelona inakwenda Nusu Fainali kwa ushindi wa jumla wa 4-0 kufuatia kushinda 1-0 kwenye mchezo wa kwanza Manchester na itakutana na mshindi wa jumla kati ya Porto na Liverpool Continue reading ->


Source: Bin ZuberyRead More