BARCELONA YASHINDA 2-1 UGENINI DHIDI YA REAL SOCIEDAD - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

BARCELONA YASHINDA 2-1 UGENINI DHIDI YA REAL SOCIEDAD

Luis Suarez wa Barcelona akibinuka tik tak mbele ya wachezaji wa Real Sociedad katika mchezo wa La Liga leo Uwanja wa Manispaaa ya Anoeta mjini Donostia-San Sebastián.  Barcelona imeshinda 2-1, mabao yake yakifungwa na Luis Suarez dakika ya 63 na Ousmane Dembele dakika ya 66 wakati la Real Sociedad lilifungwa na Aritz Elustondo dakika ya 12  ... Continue reading ->


Source: Bin ZuberyRead More