BASATA wafunguka ‘Roma na Stamina ni watu waajabu’ (Video) - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

BASATA wafunguka ‘Roma na Stamina ni watu waajabu’ (Video)

Bazara la Sanaa Taifa (BASATA) limefunguka kukanusha taarifa ambazo zimeenezwa na Roma na Stamina kwamba waliitwa na kuhojiwa na baraza hilo kwaajili ya wimbo wao mpya uitwao Parapanda. Katibu Mkuu wa Basata Godfrey Mngereza amedai wasani hao waliitwa na baraza hilo kwaajili ya kuelekezwa mambo kadhaa kuhusu kazi zao kwa kuwa wao ndio walezi wa wasanii wote.The post BASATA wafunguka ‘Roma na Stamina ni watu waajabu’ (Video) appeared first on Bongo5.com.


Source: Bongo5Read More