Basata yadai Roma anatafuta kiki, hajaitwa kuhojiwa - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Basata yadai Roma anatafuta kiki, hajaitwa kuhojiwa

Baraza la Sanaa la Taifa (Basata), limesema halijawaita wala kufungia wimbo wa Parapanda uliombwa na wasanii wa kundi la Rostam, Roma Mkatoliki na Stamina na kusema kuwa labda wameamua kujifungia wenyewe kwa lengo la kutafuta ‘kiki’.


Source: MwanaspotiRead More