BASATA yakanusha kuufungulia wimbo wa ‘Mwanza’, latoa tamko kali kwa Rayvanny - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

BASATA yakanusha kuufungulia wimbo wa ‘Mwanza’, latoa tamko kali kwa Rayvanny

Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limetoa tamko kwa umma, vyombo vya habari na jamii kwa ujumla kuwa halijaufungulia wimbo wa ‘Mwanza’, uliyoimbwa na msanii wa WCB, Rayvanny kwa kushirikiana na DiamondPlatnumz. 

Baraza yatoa tamko kwa umma, vyombo vya habari na jamii kwa ujumla kuwa halijaufungulia wimbo wa 'mwanza'.


Baraza daima limekuwa likifanya kazi zake kwa weledi mkubwa na kuzingatia… https://t.co/O2vjYCnmMt


— Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) (@BasataTanzania) November 17, 2018BASATA imesisitiza kuwa daima limekuwa likifanya kazi zake kwa weledi mkubwa na kuzingatia Sheria, Kanuni, Taratibu na Miongozo iliyopo. Hivyo taarifa za kufunguliwa wimbo huo sio za kweli ni za kizushi, aidha jamii inatakiwa kuzipuuza taarifa hizo ambazo hazina chanzo maalum.


The post BASATA yakanusha kuufungulia wimbo wa ‘Mwanza’, latoa tamko kali kwa Rayvanny appeared first on Bongo5.com.

... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More