BASATA YARIDHIA MABADILIKO YA MFUMO WA UENDESHWAJI MISS TOURISM TANZANIA - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

BASATA YARIDHIA MABADILIKO YA MFUMO WA UENDESHWAJI MISS TOURISM TANZANIA

Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM
BARAZA la Sanaa  la Taifa (BASATA) limeridhia mabadiliko ya mfumo wa uongozaji wa shindano la Miss Utalii Tanzania, na kuluhusu kuendelea kutanyika nchini Tanzania mwaka huu 2019.
Chini ya Mabadiliko hayo, shindano la Miss Utalii Tanzania sasa limeimarisha na kuborehsa mfumo wa uongozi kwa kuwa na mfumo rasmi wa uongozi na managementi “ Organisation structre”,na mfumo rasmi wa mashindano “Pageant Structure” katika ngazi zote. Mabadiliko hayo sasa yanalifanya shindano hilo kuwa kama yalivyomengine ya kimataifa kuendeshwa kwa mfumo wa ktaasisi yani Miss Tourism at an Institution Level”
Chini ya mabadiliko hayo shindano la Miss Utalii Tanzania ,sasa litajulikana kama shindanola kimataifa la Miss Utalii Tanzania yani Miss Tourism Tanzania International Pageant. Hivyo kuandika historia ya kuwa miongoni mwa mashindano ya kimataifa ya utalii Duniani,na la kwanza na pekee la kimataifa Tanzania na Afrika mashariki na kati. Shindano hili sasa litakuwa na ... Continue reading ->Source: Bin ZuberyRead More