Basi la Abood lapata ajali Mwanza, Chanzo chelezwa ni mwendesha pikipiki - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Basi la Abood lapata ajali Mwanza, Chanzo chelezwa ni mwendesha pikipiki

Basi la Kampuni ya Abood Bus Service linalofanya safari zake kati ya Dar na Mwanza limepata ajali mapema leo asubuhi maeneo ya Mkolani.
Inadaiwa chanzo cha ajali hiyo ni mwendesha pikipiki kuingia barabarani bila ya tahadhari hivyo kusababisha dereva wa basi kupoteza uelekeo.
Katika ajali hiyo taarifa za awali zinasema kuna kifo cha mtu mmoja ambaye ni dereva wa pikipiki huku watu kadhaa wakijeruhiwaChanzo Mwananchi.


By Ally Juma.


The post Basi la Abood lapata ajali Mwanza, Chanzo chelezwa ni mwendesha pikipiki appeared first on Bongo5.com.... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More