BASI LA KAMPUNI YA ARUSHA EXPRESS LATEKETEA KWA MOTO,ABIRIA WANUSURIKA KIFO - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

BASI LA KAMPUNI YA ARUSHA EXPRESS LATEKETEA KWA MOTO,ABIRIA WANUSURIKA KIFO


Basi LA Abiria Kampuni ya Arusha Express linalofanya safari zake Arusha, Bukoba lenye Namba za Usajili T 222 ABF limewaka moto na kuteketea sehemu kubwa ya Gari hilo, Ajali hiyo imetokea leo asubuhi eneo la kwa Kagambo Kilometa Mbili toka Stendi Bukoba. Abiria wote wamenusurika huku chanzo cha kuwaka moto kikibainishwa kuwa ni hitilafu ya Umeme kwenye gari hilo. ... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More