BASI LA MWENDOKASI LAPATA AJALI JIJINI DAR ES SALAAM - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

BASI LA MWENDOKASI LAPATA AJALI JIJINI DAR ES SALAAM

 Wananchi wakiangalia ajali ya basi la mwendo kasi lenye namba za usajili, T 967 DGV  iliyohusishwa na ajali ya barabarani na gari dogo lenye namba za usajili  T 584 DLA kwenye makutano ya Barabara ya Morogoro na Umoja wa Mataifa eneo la Faya Jijini Dar es Salaam, ambapo mwenye gari dogo inasemekana alikuwa akielekea Hospitali ya Taifa Muhimbili akimpeleka mgonjwa na wote wakitokea upande mmoja wa Faya na basi la mwendokasi likitokea Gerezani kueleke Ubungo.  Madereva na abiria wa magari yote mawili walisalimika Askari wa Usalama Barabarani (kulia) akikagua  ajali hiyo akiwa na wananchi wakiangalia ajali ya basi la mwendo kasi lenye namba za usajili, T 967 DGV  iliyohusishwa na Gari lenye namba za usajili T 584 DLA kwenye makutano ya Barabara ya Morogoro na Umoja wa Mataifa eneo la Faya Jijini Dar es Salaam
 Askari wa Usalama Barabarani (mwenye kofia nyeupe) akipiga simu kuomba gari maalumu ya kuvuta gari lililokuwa limegonga Basi la Mwendokasi eneo la Faya.
Gari lenye namba... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More