Basi lateketeza maisha ya watu 50 - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Basi lateketeza maisha ya watu 50

BASI la abiria lililokuwa likitokea jijini Nairobi kuelekea Kisumu nchini Kenya, limepata ajali na kuua watu takribani 50. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Ajali hiyo imetokea leo Jumatano alfajiri ya tarehe 10 Oktoba 2018, katika barabara ya Londiani-Muhuroni, Kaunti ya Kericho. Basi lililopata ajali linamlikiwa na kampuni ya Western Express Sacco Limited. Kamanda wa Polisi ...


Source: MwanahalisiRead More