BATA BATANI : Ole anogesha mzuka Man United - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

BATA BATANI : Ole anogesha mzuka Man United

OLE Gunnar Solskjaer anajaribu kuteka akili ya kila mchezaji kwenye kikosi cha Manchester United ili wapambane kwa ajili yake. Kocha huyo wa muda, amekichukua kikosi chake na kwenda nacho huko Dubai kutafuta hali ya joto, huku wakijiandaa na mechi yao ngumu kabisa dhidi ya Tottenham Hotspur Jumapili ijayo.


Source: MwanaspotiRead More