BATSHUAYI AFUNGA CHELSEA YAICHAPA SOUTHAMPTON 4-1 - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

BATSHUAYI AFUNGA CHELSEA YAICHAPA SOUTHAMPTON 4-1

Michy Batshuayi akishangilia baada ya kuifungia Chelsea bao la nne dakika ya 89 katika ushindi wa 4-1 dhidi ya wenyeji, Southampton leo Uwanja wa St. Mary's, Hampshire. Mabao mengine ya Chelsea yamefungwa na Tammy Abraham dakika ya 24, Mason Mount dakika ya 17 na N'Golo Kanté 40, wakati la Southampton limefungwa na Danny Ings dakika ya 30 ... Continue reading ->


Source: Bin ZuberyRead More