Bei ya Samsung Galaxy S10, S10 Plus na S0e Tanzania yatangazwa - Teknokona | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Bei ya Samsung Galaxy S10, S10 Plus na S0e Tanzania yatangazwa

Je ushajiuliza kuhusu bei ya Samsung Galaxy S10? Samsung Tanzania wameweka wazi bei ya simu za Samsung Galaxy S10, hii ikiwa ni pamoja na kuanza kupokea pesa za wanaoweza kulipia mapema (Pre-order). Simu za Galaxy S10 zilizotambulishwa rasmi wiki hii zimesifika sana kwa teknolojia na ubora wake ingawa kwenye suala la bei zinazidi kujiweka mbali na [...]


The post Bei ya Samsung Galaxy S10, S10 Plus na S0e Tanzania yatangazwa appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.


Source: TeknokonaRead More