BEI YA VITOWEO NDANI YA SOKO LA KINYEREZI JIJINI DAR ES SALAAM - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

BEI YA VITOWEO NDANI YA SOKO LA KINYEREZI JIJINI DAR ES SALAAM


Mfanyabiashara wa Kuku katika soko la Kinyerezi wilaya ya Ilala akimhudumia mteja wake leo jijini Dar es Salaam,ambapo bei ya kipande cha kuku ni kati ya sh. 1000/= mpaka 3500/=.
Sehemu ya kukaangia kuku katika soko la Kinyerezi wilaya Ilala kama inavyoonekana katika picha. 


Wafanyabiashara wa Samaki katika soko la Kinyerezi wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam,wakiendelea na shughuli zao mbalimbali katika soko hilo leo ambapo bei ya samaki wanauzwa kati ya sh. 2000/= mpaka 35,000/= (Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv).

Wafanyabiashara wa Samaki katika soko la Kinyerezi wilaya ya Ilala akimhudumia mteja wake leo jijini Dar es Salaam.
... Continue reading ->
Source: Issa MichuziRead More