BEI YA VYAKULA SOKO LA GONGO LA MBOTO - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

BEI YA VYAKULA SOKO LA GONGO LA MBOTO

Baadhi ya wananchi wa jiji la Dar es salaam, wakiwa katika soko la  Gongo la mboto  wakijipatiamahitaji yao kufuatia kuanza kwa Mfungo wa mwezi Mtukufu wa Ramadhani. Kwa mujibu wa wananunuzi hao,wameiambia Michuzi  Tv kwa nyakati tofauti kuwa bei ya bidhaa hizo  zina unafuu wa bei ambapo fungu moja la viazi limauzwa shilingi 1000 mpaka 2000 magimbi 1000 mpaka 3000 na Nazi kuanzia mia tano mpaka 1000  (Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv)
Wafanya biashara wa viazi katika  soko  la  Gongo la mboto wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam wakisubiri wateja wanaotoka sehemu mbalimbali,ambapo fungu moja la viazi limauzwa shilingi 1000 mpaka 2000 magimbi 1000 mpaka 3000 na Nazi moja  kuanzia mia tano mpaka 1000.    ... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More