Beki 5 mpya Namungo anayemuwaza Kagere - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Beki 5 mpya Namungo anayemuwaza Kagere

Baada ya kumaliza msimu uliopita akiwa mfungaji bora katika msimu wake wa kwanza kwenye Ligi Kuu ya Bara na kisha kuuanza msimu huu kwa moto uleule, si ajabu kwa kila mdau wa soka la Bongo kumuangalia kwa macho mawili-mawili straika wa Simba, Meddie Kagere ‘MK14’.


Source: MwanaspotiRead More