Beki mpya wa Simba aliachwa huru na Asec Mimosas? - Shaffih Dauda | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Beki mpya wa Simba aliachwa huru na Asec Mimosas?

“Msimu tulimuona kwenye mechi za awali akiwa anaanza kikosi cha kwanza. Baadae mwalimu Siaka Traore akamtumia Christian Angbandji ambaye alikuwa akiuguza majeraha. Lakini msijali sana Zana ni mchezaji mzuri sana. Kama mmefanikiwa kumsajili basi atawasaidia” Haya ni maneno ya Abdoul Koppa mwandishi wa jarida la sportsmania la nchini Ivory Coast nilipofanya nae mazungumzo.


Zana alizaliwa mwaka 1992 mwezi august tarehe 27. Ni raia wa Burkina Faso


Nilipatwa na mkanganyiko kutoka kwa vyombo vya habari hapa nchini ambazo zilizoripoti Zana amesajiliwa kutoka kwa Asec Mimosas.Zana ametokea wapi?


COULIBALY Zana Oumar alisajiliwa na ASEC Mimosas July 2017. Alisajiliwa na Asec akitokea klabu ya African Sports. Kabla ya hapo Zana alikuwa nchini Romania alipokwenda kwa ajili ya majaribio.


Msimu wake wa kwanza alicheza mechi 12 za ligue 1, na Mechi 4 za kombe la shirikisho la Africa. Msimu wake wa kwanza Alifanikiwa kutoa assist 1 na kutengeneza takribani nafasi 5 za magoli katika michezo 12 h... Continue reading ->


Source: Shaffih DaudaRead More