Beki wa Chelsea Antonio Rudger atumia ukurasa wake wa twitter kumuomba msamaha Pavard - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Beki wa Chelsea Antonio Rudger atumia ukurasa wake wa twitter kumuomba msamaha Pavard

Beki wa klabu ya Chelsea na timu ya taifa ya Ujerumani Antonio Rudger amekubali kumchezea rafu mbaya beki wa timu ya taifa ya Ufaransa Benjamin Pavard ingawa hakukusudia na kumuomba msamaha.Rudger alimchezea rafu mbaya beki huyo wa Ufaransa katika mchezo wao uliochezwa katika dimba la Allienz Arena mjini Munich nchini Ujerumani.Katika mchezo huo ambapo timu hizo zilitosana nguvu kwa kutokufungana na mchezo kumalizika kwa matokea ya suluhu ya 0-0 katika michuano ya UEFA Nation Leagua.Pavard alichezewa rafu mbaya na Rudger shingoni kwa kukanyagwa na kuumia vibaya sana ingawa minzi huyo wa Ujerumani hakupewa kadi yeyote kutokana kwamba haikuwa makusudi,Hivyo Rudger ameamua kuutumia mtandao wa twiter kwa kuandika ujumbe unaoonesha beki huyo hakufurahishwa na rafu hiyo na kuamua kumuomba msamaha:- 


By Ally Juma.


The post Beki wa Chelsea Antonio Rudger atumia ukurasa wake wa twitter kumuomba msamaha Pavard appeared first on Bongo5.com.... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More