Beki Yanga atua Singida United - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Beki Yanga atua Singida United

Zahir aliyewahi kukipiga Stand United, Mbeya City na Ruvu Shooting usajili wake kwenda Singida United ulianza kutajwa tangu dirisha dogo la usajili msimu uliopita baada ya kocha Hans Pluijm kumpendekeza.


Source: MwanaspotiRead More