Ben Pol adai muziki wa Bongo Fleva umeshuka kidogo, awahusisha BASATA - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Ben Pol adai muziki wa Bongo Fleva umeshuka kidogo, awahusisha BASATA

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Ben Pol amesema kuwa kwa sasa muziki huo umeshuka kidogo na hii ni kutokana na presha kwa wasanii, vyombo na taasisi za kiserikali zinazosimamia muziki huo.


Related imageBen Pol

 


Ben Pol amefunguka hayo kwenye mahojiano yake na EATV kwenye kipindi cha Kikaangoni ambapo amedai kuwa


Bongo Fleva na yenyewe kama imetetereka hapa katikati, naona kama kuna presha ya kutoa muziki mzuri, kuna presha ya kuwa relevant, kuna presha ya wasanii wachanga kutoka, kuna presha ya vyombo kama taasisi kumekuwa na presha ambao ndio walezi wetu,“amesema Ben Pol na kuwazungumzia BASATA.


“BASATA ni chombo na chombo pia kinaongozwa na binadmu, hata tukikataa hatuwezi kujikataa kuwa sisi ni binadamu wote sisi ni binadamu. Kunaweza kuwa na makosa ya kibinadamu pia taasisi yoyote au chombo chochote kwa sababu kinaongozwa na binadamu kinaweza kikawa na makosa ya kibinadamu. Naheshimu namna ambavyo wanasimamia na wanapigania sanaa yetu lakini sote ni binadamu.“amemaliza Ben Pol.


Wasan... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More