Ben Pol aeleza alivyozimika kwa mrembo wake mbaye ni ‘Boss Lady’ haswa - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Ben Pol aeleza alivyozimika kwa mrembo wake mbaye ni ‘Boss Lady’ haswa

Jumanne hii ilikuwa ni siku ya kuzaliwa ya bossladay wa Kenya, Anerlisa ambaye ni mpenzi wa muimbaji wa R&B kutoka Tanzania, Ben Pol.

Muimbaji huyo ambaye anafanya vizuri na wimbo, Sio Mbaya amekuwa akiishi nje ya nchi na kula bata na mpenzi wake huyo ambaye ni mtoto wa milione wa Kenya.

Jumanne hii Ben ameandika ujumbe nzuri kwaajili ya mpenzi wake huyo ambaye jana ilikuwa siku yake ya kuzaliwa.

“Happy Birthday My Love @anerlisa .. Words Cannot Explain How Much I Love You 💞, Nakutakia Maisha Marefu Na Furaha. May All Your Dreams Come True.. #MyQueen 🙏🏽❤😘💞,” aliandika Ben Pol.

Ben Pol toka aondeke Tanzania mapema mwaka iliyopita amekuwa akionekana kula bata katika nchi mbalimbali duani na mrembo huyo ambaye ni raia wa Kenya.


The post Ben Pol aeleza alivyozimika kwa mrembo wake mbaye ni ‘Boss Lady’ haswa appeared first on Bongo5.com.... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More