Benchi la Yanga lamliza Mwinyi - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Benchi la Yanga lamliza Mwinyi

BEKI wa Yanga, Haji Mwinyi amekiri kiwango cha beki mwenzake, Gadiel Michael kipo juu mno, ndio maana anapata nafasi ya kucheza, ila amempasha kocha wake Mwinyi Zahera siku akijiroga na kumpa nafasi ya kucheza hatafanya makosa kwani benchi limemchosha.


Source: MwanaspotiRead More