Benki ya CRDB kufanya Mkutano Mkuu wa Wanahisa wa Ishirini na Nne - Mei 18, 2019, Jijini Arusha - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Benki ya CRDB kufanya Mkutano Mkuu wa Wanahisa wa Ishirini na Nne - Mei 18, 2019, Jijini Arusha

 Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela akizungumza na waandishi wa habari leo kwenye ukumbi wa Mikutano wa hoteli ya Mount Meru wakati wa kuwakaribisha Wanahisa wa Benki ya CRDB katika Mkutano Mkuu wa Wanahisa wa ishirini na nne utakaofanyika siku ya jumamosi tarehe 18 Mei, 2019, katika ukumbi wa AICC Jijini Arusha. Mkutano huo utatanguliwa na Semina ya Wanahisa itakayofanyika ijumaa tarehe 17 Mei 2019. Kulia ni Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Joseph Witts.Baadhi ya wageni wakifatilia mkutano kati ya Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Abdulmajid Nsekela na waandishi wa habari, uliofanyika mapema leo kwenye hoteli ya Mount Meru, jijini Arusha.Benki ya CRDB kufanya Mkutano Mkuu wa ishirini na nne wa Wanahisa tarehe Mei 18, 2019. Akizungumza na Wandishi wa Habari katika hoteli ya Mount Meru iliyopo Jijini Arusha Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Ndugu Abdulmajid Nsekela amesema Mkutano huo wa Wanahisa wa Benki ya CRDB utafanyika katika ukumbi wa mikutan... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More