Benki ya CRDB Tawi la Holland yaendelea na wiki ya huduma kwa wateja - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Benki ya CRDB Tawi la Holland yaendelea na wiki ya huduma kwa wateja

Benki ya CRDB Tawi la Holland imeendela na maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja ikiwa ni pamoja na kuweka mikakati katika kuwahudumia wateja wao katika hilo.
Maadhimisho hayo ni katika kuhakikisha wiki ya huduma kwa wateja inaenda sambamba na kuwasogeza idadi ya wateja kufungua akaunti mbalimbali katika benki ya CRDB.
Wiki ya huduma kwa wateja imeanza Oktoba 7 na Kumalizika Oktoba 11 na maadhimisho yake ni kila mwanzoni mwa mwezi Oktoba kila mwaka, ila kwa upande wa Benki ya CRDB maadhimisho hayo yataendelea mpaka mwisho wa mwezi.

Benki ya CRDB Tawi la Holland imekuwa na utaratibu wa kuadhimisha wiki ya huduma kwa wateja kila mwaka na mafanikio yamekuwa yanaonekana kwa idadi ya wateja kufungua akaunti katika benki hiyo.
Meneja wa Benki ya CRDB Tawi la Holland, John Almas akizungumzia muitikio wa wateja kwenye wiki ya huduma kwa wateja katika tawi hilo lililopo jijini Dar es Salaam wakati wa kilele cha maadhimisho hayo yaliyoanza Oktoba 7 na kumalizika leo Oktoba 11, 2019 na maadhimish... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More