BENKI YA CRDB TAWI LA QUALITY CENTER LILIVYOSHEREKEA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI NA WATEJA WAKE - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

BENKI YA CRDB TAWI LA QUALITY CENTER LILIVYOSHEREKEA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI NA WATEJA WAKE


Meneja Mikopo kwa Wajasiriamali Wanawake wa Benki ya CRDB, Rehema Shambwe, akitoa mada katika kongamano la wanawake jijini Dar es Salaam, kuhusu huduma mbalimbali zinazotolewa na benki hiyo ikiwemo ‘Malkia Account’ wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani. Kongamano hilo limefanyika chini ya uratibu wa Chama cha Wahandisi Wanawake. Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Elias Kwandikwa, akipata maelezo alipotembelea banda la Benki ya CRDB katika kongamano la wanawake jijini Dar es Salaam, wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani. Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Elias Kwandikwa, akipata maelezo alipotembelea banda la Benki ya CRDB katika kongamano la wanawake jijini Dar es Salaam, wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani.Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Elias Kwandikwa, akiagana na Meneja Mikopo kwa Wajasiriamali Wanawake wa Benki ya CRDB, Rehema Shambwe.Naib... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More