BENKI YA CRDB YAAHIDI KUENDELEA KUWASHIKA MKONO SHULE YA WASICHANA YA MARIAN - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

BENKI YA CRDB YAAHIDI KUENDELEA KUWASHIKA MKONO SHULE YA WASICHANA YA MARIAN

Benki ya CRDB yaahidi kuendelea kuwashika mkono shule za Marian kwa kutoa kiasi cha tsh milioni 5 ili ziweze kusaidia katika maendeleo ya shule hiyo.
Hayo ameyasema Meneja wa Tawi la Bagamoyo Bi. Nitike Nsekela wakati alipohudhuria katika mahafali ya kidato ya nne yaliyofanyika mjini Bagamoyo mjini.
Bi. Nitike amesema ni jukumu la jamii kwa ujumla kuungana katika malezi ya vijana na si kuachia majukumu walimu.
"Niwaombe wazazi tuungane pamoja katika malezi ya watoto wetu maana kipindi hiki cha utandawazi kinaharibu sana kizazi chetu, tuwe walinzi tusiwatupie majukumu walimu tu," amesema.Meneja wa Benki ya CRDB Tawi la Bagamoyo mjini Bi. Nitike Nsekela ambaye alikuwa mgeni rasmi akitoa nasaha kwa wahitimu wa kidato cha nne katika shule ya Sekondari ya Wasichana Marian wakati wa mahafali yaliyofanyika Bagamoyo-Pwani. Jumla ya wahitimu wapatao 113 wanatarajia kufanya mtihani wa Taifa kumaliza kidato cha nne 2018. Meneja wa Benki ya CRDB Tawi la Bagamoyo mjini Bi. Nitike Nsekela ambaye alikuwa... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More