BENKI YA DCB YAZINDUA DCB AKAUNTI YENYE KUMHAKIKISHIA MTEJA KUWEKA AKIBA NA UHAKIKA WA ELIMU YA MTOTO WAKE HADI CHUO KIKUU. - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

BENKI YA DCB YAZINDUA DCB AKAUNTI YENYE KUMHAKIKISHIA MTEJA KUWEKA AKIBA NA UHAKIKA WA ELIMU YA MTOTO WAKE HADI CHUO KIKUU.


Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya DCB,Godfrey Ndalahwa akizungumza mbele ya Waandishi wa habari na Wageni waalikwa mbalimbali (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa akaunti maalum ya akiba ya mpango wa elimu ijulikanayo kwa jina la DCB Skonga,leo jijini Dar.Kulia ni Mkurugenzi wa Biashara ,James Ngaluko na kushoto ni Balozi wa benki hiyo kupitia akaunti ya DCB Skonga,Zamaradi Mketema.


Kulia ni Mkurugenzi wa Biashara wa Benki ya DCB,James Ngaluko akitoa ufafanuzi zaidi kuhusu akaunti ya DCB Skonga,amesema kuwa kupitia bidhaa ya DCB Skonga mteja anaweza kuchagua mpango wa aina mbalimbali wa kuweka akiba pamoja na muda wa uwekezaji kulingana na umri,gharama na muda wa masomo ya mtoto wake, "hiyo ndiyo njia salama ya kuweka akiba yako huku ukihakikishiwa elimu ya mtoto wako na mwisho wa muda uliochagua (mwaka 1 hadi 17) benki itakupa akiba yako yote ambayo pia itakusaidia kutimiza malengo yako mengine mbalimbali ya kimaisha",alisema Ngaluko.
Balozi wa benki ya DCB kupitia bid... Continue reading ->

Source: Issa MichuziRead More