Benki ya Dunia yampa ‘saluti’ JPM - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Benki ya Dunia yampa ‘saluti’ JPM

BENKI ya Dunia (WB) imeridhishwa na utekelezaji wa miradi mbalimbali inayofadhili hapa nchini, unaofanmywa na serikali ya Rais John Magufuli. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Akizungumza katika mkutano wake na Rais Magufuli uliofanyika leo tarehe 9 Oktoba 2018 Ikulu jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia, Bella Bird ameeleza kuwa, maendeleo ya ...


Source: MwanahalisiRead More