Benki ya Exim yatoa Mil 10 kufanikisha maadhimisho siku ya takwimu duniani. - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Benki ya Exim yatoa Mil 10 kufanikisha maadhimisho siku ya takwimu duniani.

 Mkuu wa kitengo cha Masoko na Mawasialiano wa Benki ya Exim Bw Stanley Kafu  (katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na Waziri wa Fedha na Mipango Dr Philip Mpango ( wa tatu kulia), Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), Dk. Albina Chuwa ( wa pili kulia), Kaimu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma (Udom), Profesa Peter Msoffe (wa pili kushoto) katika maadhimisho ya siku ya takwimu duniani iliyoadhimishwa jijini Dodoma hivi karibuni ambapo Benki ya Exim ilitoa kiasi cha Sh Milioni 10 kufanikisha maadhimisho hayo kupitia chuo kikuu cha UDOM. Mkuu wa kitengo cha Masoko na Mawasialiano wa Benki ya Exim Bw Stanley Kafu (katikati) akikabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya sh. Mil 10/-  kwa Kaimu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma (Udom), Profesa Peter Msoffe (wa pili kushoto) ikiwa ni mchango wa benki hiyo katika kufanikisha maadhimisho ya siku ya takwimu duniani iliyoadhimimishwa jijini Dodoma hivi karibuni. Waziri wa Fedha na Mipango Dk Philip Mpango,  akizungumza na ... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More