BENKI YA MAENDELEO YA AFRIKA KUIPANDISHA DARAJA TANZANIA - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

BENKI YA MAENDELEO YA AFRIKA KUIPANDISHA DARAJA TANZANIA


Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb), akizungumza na Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Maendeleo Afrika (AfDB), Alex Mubiru alipomtembelea ofisini kwake Jijini Dodoma.Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Maendeleo Afrika (AfDB), Alex Mubiru (kulia) akielezea jambo wakati wa mazungumzo yake na Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Phillip Mpango (Mb), Jijini Dodoma. Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Maendeleo Afrika (AfDB), Alex Mubiru akielezea jambo wakati wa mazungumzo yake na Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Phillip Isdor Mpango (Mb) (hayupo pichani), Jijini Dodoma. Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango Bw. Adolf Ndunguru (kushoto), na Kaimu Kamishna wa Fedha za Nje Bw. Adrian Njau wakisikiliza kwa makini mazungumzo kati ya Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) na Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), Bw. Alex Mubiru (hawapo pichani), kilichofanyika Jijini Dodoma. Mwakili... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More