BENKI YA MAENDELEO YA KILIMO (TADB) YAAHIDI MAKUBWA PANGANI - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

BENKI YA MAENDELEO YA KILIMO (TADB) YAAHIDI MAKUBWA PANGANI

 Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo Ndg. Japhet Justine akiungumza na viongozi wa wilaya ya Pangani wakati wa kikao chao cha pamoja kuhusiana ushirikiano Mkuu wa wilaya ya Pangani Zainabu Abdallah akizungumza katika kikao hicho kulia ni Afisa Tawala wa wilaya ya Pangani Gibson George Afisa Tawala wa wilaya ya Pangani Gibson George kulia akizungumza katika kikao hicho kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Pangani Zainabu Abdallah Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo Ndg. Japhet Justine  kushoto akiangana na Mkuu wa wilaya ya Pangani Zainabu AbdallahWakiwa kwenye picha ya pamoja baada ya kufanya mazungumzo hayo.
Mkuu wa Wilaya ya Pangani Mh. Zainab Abdalah ametembelea uongozi wa Benki ya Maendeleo ya kilimo nchini kufanya kikao kilichomkutanisha Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo Ndg. Japhet Justine na viongozi waandamizi ambao kwa pamoja wameahidi kuifanya Pangani wilaya ya mfano na ya kimkakati kwenye mipango yao.
Kikao hiki kimetoka na maazimio mazito kuelekea mapinduzi ya kili... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More