BENKI YA NMB KAHAMA YAKUTANA NA WAFANYABIASHARA ' WANACHAMA WA BUSINESS CLUB' - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

BENKI YA NMB KAHAMA YAKUTANA NA WAFANYABIASHARA ' WANACHAMA WA BUSINESS CLUB'

Meneja wa NMB Kanda ya Magharibi Leon Ngowi, akizungumza kwenye kikao cha wafanyabiashara ambao ni wateja wa benki hiyo na kusema lengo lake ni kujadili changamoto ambazo huwa zinawakabili wafanyabiashara ili kuboresha huduma kwao na kuendelea kuitumia benki kukopa fedha ili kuwainua kiuchumi - Picha zote na Marco Maduhu - Malunde1 blog.Mwenyekiti wa wafanyabiashara Business Club wa Benki ya NMB Azan Salumu akiomba riba ipunguzwe ili wafanyabiashara wengi waweze kujitokeza kuchukua mikopo Benki, pamoja na kuweza kurejesha marejesho kwa wakati bila ya kukwama.Mkuu wa wilaya ya Kahama Anamringi Macha akizungumza kwenye kikao hicho ambapo aliwataka wafanyabiashara wote wilayani humo kuacha tabia ya kukwepa kulipa kodi bali wajitokeze ili kuchangia ongezeko la mapato serikalini, fedha ambazo zitasaidia kuleta maendeleo wilayani humo ikiwamo na ujenzi wa miundombinu mizuri ya barabara ambayo itasaidia biashara zao kufanyika kwa ufanisi.Afisa kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA wilayani Ka... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More