BENKI YA NMB YATOA MSAADA WA STULI NA MEZA ZA MAABARA SHULE YA SEKONDARI MWANTINI - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

BENKI YA NMB YATOA MSAADA WA STULI NA MEZA ZA MAABARA SHULE YA SEKONDARI MWANTINI

Sehemu ya stuli na meza za maabara zilizotolewa na benki ya NMB kwa ajili ya wanafunzi katika shule ya sekondari Mwantini iliyopo katika halmashauri ya wilaya ya Shinyanga.Meneja wa Benki ya NMB  Manonga, Baraka Ladislaus akimkaribisha Meneja wa Benki ya NMB Kanda ya Magharibi James Katamba ili akabidhi stuli 32 na meza 8 za maabara kwa Mkuu wa wilaya ya Shinyanga,Mheshimiwa Jasinta Mboneko kwa ajili ya shule ya sekondari Mwantini.Kulia ni Kaimu Meneja wa Benki ya NMB Kanda ya Magharibi James Katamba akishikana mkono na  Mkuu wa wilaya ya Shinyanga,Mheshimiwa Jasinta Mboneko wakati wa zoezi la kukabidhi stuli 32 na meza 8 za maabara kwa ajili ya shule ya sekondari Mwantini.Wa kwanza kulia ni Mwenyekiti wa ALAT taifa,mheshimiwa Gulam Hafeez Mukadam ambaye pia ni Mstahiki meya wa Manispaa ya Shinyanga.Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Mheshimiwa Jasinta Mboneko na Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Shinyanga,Ngassa Mboje wakipokea moja kati ya stuli 32 kutoka benki ya NMB. Kulia ni Menej... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More