Benki ya Posta Tunduru Yatoa vifaa saidizi kwa watoto wenye ulemavu wa ngozi - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Benki ya Posta Tunduru Yatoa vifaa saidizi kwa watoto wenye ulemavu wa ngozi


Meneja wa benki ya posta Tanzania tawi la Tunduru Bi Emajackline Mtemba akiongea na wanafunzi wenye ulemavu wa ngozi, wazazi na walimu wakati alipokuwa akikabidhi vifaa saidizi kwa wanafunzi wenye ulemavu wa ngozi wilayani Tunduru iliyofanyika katika ukumbi wa klasta Mlingoti. Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Tunduru Ndg Gasper Balyomi akimvisha kofia ya kujikinga na mionzi ya jua (pama) wakati alipokua akipokea vifaa kutoka kwa meneja wa benki ya Posta tawi la Tunduru Bi.Emajackline Mtemba vyenye thamani Tsh 2949,000.00 katika halfa iliyofanyika ukumbu wa klasta. Katika picha ni viongozi wa Benki ya Posta Tawi la Tunduru, viongozi wa Idara ya Elimu Msingi na watoto wenye Ulemavu wa ngozi baada ya kukabidhiwa vifaa saidi kwa ajili ya kujikinga na madhara yatokanayo na jua na magonjwa ya ngozi. Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya wilaya ya Tunduru Gasper Zahoro Balyomi akikabidhi vifaa saidizi kwa wanafunzi wenye ulemavu wa ngozi wilayani Tun... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More