Benki ya TPB Plc yawakaribisha wateja waliokuwa benki ya wanawake Tanzania (TWB). - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Benki ya TPB Plc yawakaribisha wateja waliokuwa benki ya wanawake Tanzania (TWB).

 Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya TPB Plc Sabasaba Moshingi, akiwakaribisha katika benki hiyo, wateja waliokuwa Benki ya Wanawake Tanzania (TWB) Pia amefafanua mambo mbalimbali kuhusu kuwahudumia wateja wao bila ukiritimba wowote watashirikiana pamoja. Mazungumzo hayo yalifanyika jijini Dar es Salaam juzi.
 Baadhi ya wafanyakazi waliokuwa Benki ya Wanawake Tanzania (TWB) wakimsikiliza kwa makini Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya TPB Plc Sabasaba Moshingi,hayupo pichani, wakati wa kuwakaribisha katika Benki ya TPB  Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya TPB Plc Sabasaba Moshingi,kushoto akisalimiana na wateja waliokuwa Benki ya Wanawake Tanzania (TWB)na kuwakaribisha rasmi.Hafla hio ilifanyika jijini Dar es Salaam juzi.... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More