BENKI YAELEZA ILIVYOJIPANGA KATIKA KUFANIKISHA KWA VITENDO UJENZI WA TANZANIA YA VIWANDA - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

BENKI YAELEZA ILIVYOJIPANGA KATIKA KUFANIKISHA KWA VITENDO UJENZI WA TANZANIA YA VIWANDA

Na Said Mwishehe,Globu ya jamii


WAKATI Serikali ya Awamu ya Tano chini Rais Dk.John Magufuli ikihimiza ujenzi wa viwanda ili kufikia uchumi wa kati, uongozi wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imesema imeweka mikakati madhubuti ya kuhakikisha wanashiriki kikamilifu katika kujenga uchumi imara utakaotokana na viwanda.
Akizungumza leo jijini Dar es Salaam na wahariri wa habari za uchumi na biashara kutoka vyombo mbalimbali vya habari nchini , Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC Theobard Sabi amesema wanatambua Serikali imedhamiria kuifanya Tanzania kuwa nchi ya viwanda na kuifikisha Tanzania kuwa nchi yenye hadhi ya kipato cha kati na kuondokana na umaskini kufikia mwaka 2025.

"NBC inaunga mkono dhamira hiyo kwa kuwawezesha wafanyabiashara katika sekta mbalimbali na mitaji ya kifedha. Kama mnavyofahamu kwamba NBC ni moja ya benki yenye mtaji mkubwa wa kuwawezesha wafanyabiashara wa kitanzania. Hivyo tutahakikisha tunashiriki kikamilifu katika kuwajengea uwezo wa Tanzania ili washiriki kweny... Continue reading ->

Source: Issa MichuziRead More