BEYONCE ALETA GUMZO DUNIAN - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

BEYONCE ALETA GUMZO DUNIAN


Na Moshy Kiyungi,Dar es Salaam

Msanii maarufu wa muziki wa R&B wa nchini Marekani Beyonce, ametikisa ulimwengu baada ya kuanzisha dini yake iitwayo Beyism.
Dini hiyo ni ya kuabudu iliyoanzishwa rasmi mwaka 2014, alishirikiana na marafiki zake mjini Atlanta, Georgia nchini humo, akaanzisha kanisa lake liitwalo The National Church of Bey.
Kwa mujibu wa kiongozi muanzilishi wa dini hiyo, Pauline John Andrews, alianza kwa kufungua tovuti ya kuwaita watu kujiunga nao ambapo alifanikiwa kupata wafuasi 12, ndani ya kipindi kifupi wakajitokeza wafuasi wengine 200 kanisani hapo.
“Ni dini halisi inayoongea, yeye Beyonce kuwa ni mungu anayepumua, anayeonekana kila siku” alitamka Pauline.
Baada ya kuanzishwa mjini Antlanta, Dini hiyo ya Beyism imeendelea kutawanyika hadi katika jiji la San Francisco, California, nchini Marekani ambapo katika Kanisa la Grace wanayo misa maalumu ya Beyonce.
Katika kanisa hilo linaloongozwa na mchungaji Yolanda Norton, ambaye anatumia biblia iitwayo Beyble katika mafu... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More