Beyonce na Balmain kuja na Collection based on her Coachella Looks,Na itakua for Charity - 8020 Fashions | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Beyonce na Balmain kuja na Collection based on her Coachella Looks,Na itakua for Charity

Well well when the great mind come together mnajua tu itakua fire,Mwaka huu kwenye Beychella Beyonce made history and all her oufits included na vivazi vyote vili dizaniwa na mkali wao Balmain chini ya creative  director  Olivier Rousteing.


Now people went crazy over her perfomance kwenye coachella pamoja na vivazi byake which ikazaliwa idea ya wao waili kufanya collabo ya capsule collection.


Na hii collection mauzo yake yatakua kwenda kusaidia jamii which itasaidia chuo cha  United Negro College Fund, ambacho kinatoa  scholarships kwa wanafunzi weusi na for 37 member HBCUs.


Collection itakua na 3 pieces Yellow and pink sweatshirts ambazo Rousteing designed for Beyoncé’s Coachella performance, halafu pia kutakua na a black T-shirt yenye the same sorority graphic.


Collection itakua on sale Ijumaa July 13 na mauzo yataenda toward the United Negro College Fund.


“The donation was the main goal of this collaboration,” Rousteing told Vogue. “We don’t forget where we come... Continue reading ->


Source: 8020 FashionsRead More