Beyonce on Vogue September Issue Anongelea Struggle ya Ku lose Baby Weight,Muziki,Mume na Watoto - 8020 Fashions | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Beyonce on Vogue September Issue Anongelea Struggle ya Ku lose Baby Weight,Muziki,Mume na Watoto

Beyonce yuko kwenye kurasa za mbele kabisa za Vogue September issue ambalo ni gazeti maarufu sana duniani ,na likiwa ni lile toleo kubwa na amazing kuliko yote the September issue.


Humo Beyonce ameongea mambo mengi,kuanzia alivyokua na kilo 98 wakati anajifungua watoto wake mapacha na alivyo pata pressure ya kupungua ndani ya miezi mitatu sababu jamii ilikua inasema jinsi anavyotakiwa awe,pia alifanyiwa upasuaji c section sababu kulikua na complications na alikaa NICU zaidi ya mwezi mzima.


After the birth of my first child, I believed in the things society said about how my body should look. I put pressure on myself to lose all the baby weight in three months, and scheduled a small tour to assure I would do it. Looking back, that was crazy. I was still breastfeeding when I performed the Revel shows in Atlantic City in 2012. After the twins, I approached things very differently.


TAKE YOUR TIME UKIJIFUNGUA AND ENJOY MOTHERHOOD HILI SWALA LA KUKIMBIZANA KU LOOSE BABY WEIGHTL SIO MPANGO KA... Continue reading ->


Source: 8020 FashionsRead More